EAST KWA MABEAST
(Official Lyrics, Enjoy!!) Ok King Kaka, Karibu East Kwa Mabeast.
Nyanyangu aliniombea niwe na macho kwa kisogo incase nagwaya/
Sidwell in the past but hiyo past imeniInsipre/
Na vile kuna noma sahii wajanja ka mimi watajenga bridge wajinga ka Patel watajenga dam/
Ka hauwezi beba maarifa usijichoche unaweza cram/
Siunikose basi ndio nijue nia, si tupotee basi ndio tujue njia/
Si kuna sewer zimepita kwa living Eastlando na hauwezi throw up/
My prayer tu ilikuwa niweze grow up/
Closing day nimengoja hadi 3 na dad hakushow up/
Sijakushow kwetu tulikuwa best friends na njaa/
Ceiling yetu haikuwa best friends na taa/
Nyi mko na timetable kwa fridge vile ile food mtadecide/
Tulikosa sana I think minyo zangu zilicommit suicide/
Eyewitness ya death ya akina Ronnie na Ndishu/
Kwanini mother aliharibu/ schoolfees na maisha inaweza teach you/
Sijawai get comfortable, hii sio kitambi nimestomach issues/
All along wametushow sisi ni others, sisi ni ETC/
Hesabu haziingi, kumbe ni syllabus ya IEBC/
Hawakutunyunyuzia maji basi hatuwezi koma/
Na Wewe hautaki kuObey basi hauwezi command/
Tulitamani sana hiyo life ya top za Hawaii, jinika tight na masahara/
Doh beside them, chuma kwa buckle na madem na mascara/
Hadi ile siku OCS alikutana na wao akawaambia basi lala/
Si we ndio mmekuwa mkiangaisha hii mtaa usiku na mchana/
Ile panya inauma ikipuliza si imepatikana/
next week tulikuwa tunaenda ocha kwao na basi saba/
Nikachujwa chuo mara kadha ata nikawish niende/
East kwa workshop ya devil nikawish Fe nibebe/
Thank God kila weekend niko kwa class, I mean 1st class kwa ndege/
Na akili zikiwa uji si wataenda kwa chief kukesi/
We unachase madem, si uchase doh na madem watakuchesi/
Si uhave dialogues na God, hajakushow vile ameniblessings/
Umeblessiwa kwa dias ya cathedral, jiulize mbona pastor haendi kuperform miracles kwa hospitals/
Sikuhizi ata church iko na madingo na gospel iko na Willy Paul/
But I don’t judge, mi nangoja siku maJudge watajudgiwa na God/
Shule ya rap niligraduate from sunguch to a GOAT Umeshindana na elephant kushonde, hapo ndio itawacost/
Private wing daktari atakuwa anatie kaKnot/
Birthday zilikuwa githeri na mabaloons/
Sahii ni private rooms na roundtable ni ma tycoons/
Ntanawa bado ata kuku ikiletwa even though kuna knife na 5 spoons/
Na huyu politicians ni mjinga, ndani ya SUV anajificha aje? actually sisi ndio wajinga aje?
Na kura bado tutapiga aje potholes zinahitaji lifeguard juu zimejaa maji/
na akipita ako na 5cars, ohh reminder hiyo ni ganji yako yaani your tax/
basi parliament iitwe bedroom/
huyu tu ni Kaka anawaAttack, hizo manifesto ni whack/
for the last time mi sina beef na Sauti/
mi niko na mabiz huko Saudi/
wanilock niko kwa bars ka kauzi/
na vile mzizi iko deep ntaogopaje upepo/
bado KING ata mkitamka potato potato/
naangalia kwa kioo na everything I need inaniangalia/
I smell fear vile tu kwa kila room naingia/
I mean rappers, rappers, rappers, Unataka kumaliza career zenu basi dai verse/
Unataka kupendwa na kila mtu basi die first/
Tunalive the dream utakuwa aje na nightmares/
Dr. King alishafight for the Dream ndio tusikuwe na nightmares/
Ndio maana kila night namake love na success kwa bed/
Remember patience puts a crown on the head/ Karibu tufeast , Karibu EAST KWA MABEAST.
(get the full album on itunes, Spotify, deezer, boomplay http://itunes.apple.com/album/id1445179080?ls=1&app=itunes)
Show less157